Tunachokusanya: namba ya simu unayoingiza, historia ya vifurushi na malipo yako, mikeka uliyonunua, tipsters unaowafuata, na taarifa za kiufundi (IP address, aina ya kivinjari) kwa ajili ya usalama.
Tunachokitumia: kukuingiza kwenye akaunti, kuthibitisha malipo kupitia mtoa huduma wa malipo, kukuonyesha mikeka uliyolipia, na kuzuia matumizi mabaya (mfano akaunti moja kwenye vifaa vingi).
Hatukusanyi: PIN yako ya mobile money, password za benki, wala namba za kadi. Malipo yanathibitishwa kwenye simu yako na mtandao wako.
Kushiriki taarifa: namba yako na kiasi cha malipo hutumwa kwa mtoa huduma wa malipo pekee ili kukamilisha muamala. Hatuuzi taarifa zako.
Haki zako: unaweza kuomba kubadilisha namba au kufutiwa akaunti kwa kuwasiliana nasi: admin@mikekaapp.co.tz.
Umri: huduma hii ni kwa watu wenye miaka 18 na kuendelea pekee.
Huduma: tunauza uchambuzi na booking codes (mikeka) kutoka kwa tipsters na wataalamu wetu. Hatupokei dau wala kuendesha michezo ya kubahatisha. Matokeo ya mechi hayana uhakika; unabeti kwa hiari na hatari yako mwenyewe.
Vifurushi: NORMAL siku 1, TANZANITE siku 3, VIP siku 7, VVIP siku 30. Muda unaanza malipo yakithibitishwa; ukilipia tena muda unaongezwa juu ya uliobaki. Mkeka wa SINGLE ni wa mkeka mmoja tu.
Akaunti: akaunti moja inatumika kwenye kifaa kimoja kwa wakati mmoja. Kushirikisha akaunti kunaweza kusababisha akaunti kufungwa.
Uhusiano: MIKEKA APP haihusiani na kampuni za kubeti wala mitandao ya simu iliyotajwa.
Mawasiliano: admin@mikekaapp.co.tz.